News
Imamu Msaidizi wa Msikiti huo, Abasi Abdalah alisema mtu yeyote atakayejenga msitiki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu atahesabiwa mema na kwamba alichofanya Mkurugenzi huyo ni sadaka. Alisema ujenzi wa ...
WAKALA ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mkoa wa Lindi, imetangaza kusitisha matumizi ya barabara ya Somanga-Mtama, kwa muda baada ya mvua kubwa zilizonesha katika Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi. Mvuoa ...
Maridhiano ni hali ya pande mbili zilizokuwa hazielewani hapo awali kuja kwenye meza ya amani kwa kila upande.
PAPA Francis ni Papa pekee (Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani), aliyeshiriki kumchagua papa (mtangulizi wake) Papa ...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis alifariki dunia Jumatatu ya Pasaka, Aprili 21, 2025, akiwa na umri wa miaka ...
Askofu wa Jimbo Katoliki teule la Bagamoyo, Stephano Musomba amesema kila muamini anapaswa kuwa mmishionari katika kutangaza mema na ukuu wa Mungu.
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results