News
Askofu wa Jimbo Katoliki teule la Bagamoyo, Stephano Musomba amesema kila muamini anapaswa kuwa mmishionari katika kutangaza mema na ukuu wa Mungu.
ILIKUWA Machi 13, 2013, Baraza la Makardinali lilipomchagua Kardinali Jorge Mario Bergoglio raia wa Argentina kuwa Papa, akichagua jina la Francisisko wa Asizi, kisha akaapishwa Machi 19, 2013. Papa F ...
Maridhiano ni hali ya pande mbili zilizokuwa hazielewani hapo awali kuja kwenye meza ya amani kwa kila upande.
Baadaye siku hiyo, walimkuta Yesu akiwa hai, na wakatambua kwamba Mungu alikuwa amemfufua. Ndiyo maana Wakristo husherehekea Jumapili ya Pasaka. Soma zaidi mada inayofanana: ...
Pasaka maana yake ni hakuna chochote kinacho weza kutuweka mbali na furaha ambayo Mungu anataka kutupatia. Pasaka huzunguka kidogo kila mwaka. Siku zote Pasaka huwa katika Jumapili ya kwanza baada ...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis alifariki dunia Jumatatu ya Pasaka, Aprili 21, 2025, akiwa na umri wa miaka ...
“Nikiliweka taifa mikononi mwa Mwenyezi Mungu, ninaomba kwamba awajalie hekima na upole kwa wingi wote wanaoishi ndani yake. “FRANSISKO, Kwa salamu za upendo na matakwa mema, ninaitumia fursa hii ...
PAPA Francis ni Papa pekee (Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani), aliyeshiriki kumchagua papa (mtangulizi wake) Papa ...
“Wayahudi walimwonea Yesu wivu kwa sababu ya matendo yake ya huruma na uponyaji. Lakini pamoja na yote hayo, Yesu alikubali kifo kama njia ya kutimiza mapenzi ya Mungu,” alisema Padri Shija. Katika ...
Ulimwenguni kote, kutakuwa na ibada katika makanisa ya kukumbuka Yesu kufufuka kutoka kwa wafu Jumapili ya Pasaka. Lakini kipengele kinachojulikana zaidi cha Pasaka ni yai la Pasaka. Kanisa ...
25.04.2025 25 Aprili 2025 Maafisa wawili wakuu wa CHADEMA waliokamatwa kabla ya kesi ya uhaini ya kiongozi wao wa chama wameachiliwa++Rais Trump wa Marekani atoa wito kwa Urusi kusitisha ...
Mbali na kuzuia, mwongozo huu pia unatoa mapendekezo ya kimatibabu ili kuhakikisha waathirika wa FGM wanapata huduma ya huruma na bora ya kiafya. Kutokana na madhara ya muda mfupi na mrefu yatokanayo ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results