News
Katika hotuba yake kwa umma, Trump amesema ndege za Jeshi la Marekani zimelenga na kushambulia vinu vya nyuklia vya Iran vilivyoko maeneo ya Fordow, Natanz na Isfahan.
Matukio ya wazazi kuua watoto wao na wenyewe kujiua yanazidi kushika kasi nchini, yakiripotiwa matano kati ya Januari hadi ...
Mheshimu mumeo. Hata akichepuka usifungue mdomo. Ongeza upendo ataona aibu mwenyewe ataacha. Na ule ‘umjinimjini’ achana nao.
Wakati nchi ikitarajiwa kuingia katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu, waandishi wa habari wametakiwa kutenda haki kwa wadau ...
Dansa maarufu nchini Ahmed Mohamed Makambi ‘Dummy Utamu’ anasimulia tamu na chungu za kufanya kazi na msanii wa kimataifa wa ...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema mapendekezo ya Serikali kuanzisha tozo mpya kutadumaza fursa za kiuchumi na kupunguza uwezo ...
Hivi unajua kila Dola moja ya Marekani (Sh2,573.67) inayowekezwa kwenye ujenzi wa miundombinu, hasa madaraja, huchochea ...
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa kimila, hususani waganga wa kienyeji kujiepusha na ramli chonganishi kuelekea ...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Nishati wa Russia, Sergey ...
Wakati jitihada mbalimbali za kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari nchini zikiendelea kufanyika, Tanzania itakuwa mwenyeji ...
Meya wa Manispaa ya Moshi, Zuberi Kidumo amesema licha ya mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka mitano ya uongozi ...
Shirikisho la riadha Tanzania (RT) limepanga kufanya Uchaguzi Mkuu wake siku moja na ule wa Shirikisho la Mpira wa Miguu ...
Results that may be inaccessible to you are currently showing.
Hide inaccessible results